Sifa za Mkopo:
- Kiwango cha juu cha mkopo huu hakitazidi shilingi milioni mbili (2,000,000/=)
- Muda wa marejesho hautazidi miezi sita (6)
- Kiwango cha riba ni asilimia moja (1%) kwa mwezi (Mstari myoofu)
- Mkopo huu hautegemei akiba alizonazo mwanachama
- Mkopo huu auhitaji wadhamini
- Maresho yanaweza kuwa kwa njia zifuatazo:
- Mshahara
- Makubaliano ya Kukatwa Bank
Taratibu Nyingine:
- Mwanachama hataruhusiwa kupata mkopo mwingine wa PAPO 2 PAPO endapo hatakuwa amekamilisha marejesho ya mkopo wa PAPO 2 PAPO uliotangulia
- Mwanachama anaweza kukopa mkopo wa PAPO 2 PAPO hata kama ana mkopo mwingine kama vile mkopo wa maendeleo ya jamii.
- Muombaji atahitajika kujaza fomu ya maombi (TRASACCO-2) na kuiwasilisha ofisi za Chama.
Jinsi ya Kuomba