TRA SACCOS
Home Announcements

Kupanda kiwango cha HISA hadi TZS 1,000,000

Posted on Apr 28, 2026

Mkutano Mkuu wa Mwaka 2024 uliazimia kuongeza kiwango cha chini cha HISA kutoka hisa 30 hadi 50 kwa kila mwanachama; yaani kutoka TSH600,000 hadi TSH 1,000,000

Hivyo unahimizwa kukamilisha hisa zako kwa kulipa kiasi kinachopungua kupitia mojawapo ya akaunti za benki zifuatazo ili uendelee kupata huduma kama kawaida:

Jina la Akaunti ni: TRA SACCOS LTD:

NBC 012103020266,
CRDB 01J1328947802,
NMB 20310008081,
AZANIA 00100021049