Familia yenye furaha
Our Vision
To be a leading and model SACCOS in Tanzania.
Our Mission
To improve the standard of living and increase the value of members through provisional of high quality micro finance products using modern technology.
Built Around Your Life
Mkopo wa Maendeleo ya Jamii (SDL) unatolewa kwa lengo la kumsaidi mwanachama katika kukidhi mahijati yake ya kijamii kama vile; Karo za shule/Chuo Ununuzi wa samani (Furniture) Ujenzi na umilikaji wa nyumba Ununuzi wa vyombo vya moto Mtaji kwa ajili ya biashara mbalimbali Mahitaji mengine yanayofanana na hayo yaliyotajwa hapo juu
Learn MoreAina hii ya mkopo inatolewa kwa mwanachama hai wakati wowote itokeapo dharura. Kama jina la mkopo huu linavyojieleza, aina hii ya mkopo itatolewa kwa mwanachama aliyepatwa na dharura (emergency) tu kwa ajili ya kumsaidia kwa wakati husika.
Learn MoreNi mkopo wa haraka usiotegemea kiwango cha akiba alizonazo mwanachama, ukiwa na kiwango cha juu cha mkopo hadi TZS 2,000,000. Marejesho hufanyika ndani ya miezi 6, huku riba ikiwa 1% kwa mwezi (mstari mnyoofu)
Learn MoreNi mkopo wa kidijitali unaopatikana muda wote (24/7) kwa wanachama kwa riba ya 5%, bila dhamana na kiwango cha juu cha TZS 200,000. Na pesa huingizwa ndani ya sekunde kupitia App ya "TRA SACCOS Kiganjani" au USSD *150*45#.
Learn MoreMkopo wa Elimu ni aina ya mkopo wa muda mfupi unaotolewa kwa wanachama wa TRA SACCOS kwa ajili ya kukidhi mahitaji ya kulipa karo za shule/chuo kwa ajili yake, ndugu au wategemezi wake.
Learn MoreNi Mkopo huu unatolewa kwa mwanachama mwenye akaunti za Wastaafu au/na Wekeza. Kiwango cha juu cha mkopo ni milioni hamsini (50,000,000.00) lakini si zaidi ya mara mbili ya jumla ya akiba ya wastaafu na wekeza..
Learn MoreCredit that moves at the speed of your life
6
Loan products available
24hrs
Emergency loan turnaround
Low
Competitive interest rates
Flexible
Repayment terms
Akaunti ya Wekeza ni akaunti ya akiba ambayo inamuwezesha mwanachama kuendelea kuchangia kwa kuwekeza katika akaunti hiyo bila kutoa fedha kwa kipindi cha kuanzia Miaka mitatu (3).
Learn MoreHii ni Akiba mwanachama anaweza kuweka kwa ajili ya maandalizi ya hapo baadae akistaafu
Learn MoreAkaunti ya Akiba ya ELIMU inamuwezesha mwanachama kuchangia kwa hiari yake mwenyewe ili kukidhi mahitaji ya kulipa karo za shule/chuo kwa ajili yake, ndugu au wategemezi wake.
Learn MoreAkaunti ya Akiba ya Lazima inampa mwanachama fursa ya kujijengea tabia ya kuweka akiba ambayo anaweza kuitumia kama dhamana ya kupata Mikopo mikubwa.
Learn MoreRambirambi ni huduma ambayo kila mwanachama huchangia Tzs. 10,000 kila mwezi kwenye mfuko wa rambirambi kwa lengo la kuwahudumia Wanachama pale wanapofariki au kufiwa na wategemezi wao kama ilivyoainishwa katika sera ya Rambirambi ambapo mwanachama hupewa kiasi cha TZS. 1,500,000/= kama pole ya msiba na kumsaidia mwanachama wakati wa msiba huo.
Learn MoreEvery shilling saved is a step toward freedom
5
Savings products available
High
Interest rates on savings
Safe
Regulated & protected
Auto
Automatic contributions
Start Building Your Future Today
Thousands of TRA employees are already building stronger futures, gaining access to supportive financial services, and creating lasting security for their families through TRA SACCOS. Here’s what membership can mean for you and those who depend on you.
Growing Together
Fast Loan Access
Tailored for You
Safe & Secure Savings
Ready to take control of your financial future?
Join TRA SACCOS today — it takes few minutes to get started.
Questions? We've got answers.
Do you want to join TRA SACCOS, need to apply for a loan, or have an enquiry? Reach out to us and our team will be happy to assist you.