Home
Savings Product
Akaunti Ya Wekeza
Overview
Akaunti ya Wekeza ni akaunti ya akiba ambayo inamuwezesha mwanachama kuendelea kuchangia kwa kuwekeza katika akaunti hiyo bila kutoa fedha kwa kipindi cha kuanzia Miaka mitatu (3).
Riba (Interest)
Asilimia Saba (7%)
Muda wa uwekezaji
Miaka mitatu(3)
Dhamana ya mkopo
Inaweza kutumika kama dhamana ya mkopo
FAIDA ZA WEKEZA AKAUNTI
- Ni fursa kwa mwanachama kuwekeza Fedha yake kwa kipindi maalum.
- Riba ya Asilimia Saba (7%) inalipwa kila Mwaka kama faida baada mwanachama kufikisha TZS.500,000.
- Mwanachama anaweza kuchagua kulipwa riba yake au kuendelea kuiwekeza katika akaunti yake ya wekeza (Chaguo la kwanza, Chama kitamuingizia Mwanachaba faida yake (Riba) katika akaunti yake ya WEKEZA.
- Muda wa uwekezaji ni miaka mitatu(3)
- Mwanachama anaweza kuamua kuhuisha kipindi kipya cha uwekezaji wa miaka mitatu mingine kila mwisho wa miaka mitatu ya kwanza.
- Mwanachama anaweza kuchangia katika Akaunti hii kila anapopata fedha (Kwa njia ya Mshahara au Kuweka fedha katika akaunti za chama au Makubaliano ya Bank Standing Order).
- Inaweza kutumika kama dhamana ya mkopo.
VIGEZO NA MASHARTI
- Ili Kupata faida ya asilimia 7% kila mwaka, mwanachama hataruhusiwa kuchukua fedha katika akaunti hii kwa muda wa miaka mitatu(3)
- Endapo mwanachama ataamua kuchukua kiasi cha fedha au fedha yote katika akunti hii, atapata riba ambayo ni nusu ya riba iliyopatikana mwaka/miaka iliyopita
How to Save
Step-by-Step Grow Your Savings
1
Jaza fomu ya maombi
Bofya hapa, jaza fomu itakayotokea, pakua PDF dokumenti
2
Kisha Itume
kisha itume kwenye barua pepe ya Chama (info@trasaccos.co.tz)
Our Bank Accounts
TRA SACCOS LTD Bank Details
Use the account details below to make deposits or transfers.
NBC
Account Number
012103020266
CRDB
Account Number
01J1328947802
NMB
Account Number
20310008081
AZANIA
Account Number
001000210497
Get In Touch
Do you want to join TRA SACCOS, need to apply for this product, or have an enquiry? Reach out to us and our team will be happy to assist you.