Home
Loan Product
Mkopo wa PAPO 2 PAPO
Overview
Ni mkopo wa haraka usiotegemea kiwango cha akiba alizonazo mwanachama, ukiwa na kiwango cha juu cha mkopo hadi TZS 2,000,000. Marejesho hufanyika ndani ya miezi 6, huku riba ikiwa 1% kwa mwezi (mstari mnyoofu)
24hr payment
Malipo ndani ya saa 24
Low Interest
Riba 1% mstari mnyoofu
Sifa za Mkopo:
- Kiwango cha juu cha mkopo huu hakitazidi shilingi milioni mbili (2,000,000/=)
- Muda wa marejesho hautazidi miezi sita (6)
- Kiwango cha riba ni asilimia moja (1%) kwa mwezi (Mstari myoofu)
- Mkopo huu hautegemei akiba alizonazo mwanachama
- Mkopo huu auhitaji wadhamini
- Maresho yanaweza kuwa kwa njia zifuatazo:
- Mshahara
- Makubaliano ya Kukatwa Bank
Taratibu Nyingine:
- Mwanachama hataruhusiwa kupata mkopo mwingine wa PAPO 2 PAPO endapo hatakuwa amekamilisha marejesho ya mkopo wa PAPO 2 PAPO uliotangulia
- Mwanachama anaweza kukopa mkopo wa PAPO 2 PAPO hata kama ana mkopo mwingine kama vile mkopo wa maendeleo ya jamii.
- Muombaji atahitajika kujaza fomu ya maombi (TRASACCO-2) na kuiwasilisha ofisi za Chama.
How to Apply
Step-by-Step Process
1
Jaza fomu ya maombi
Muombaji atahitajika kujaza fomu ya maombi (Bofya Hapa Kupakua fomu)
2
Kisha iwasilishe
Kisha iwasilishe kwa Mwenyekiti wa chama.
Get In Touch
Do you want to join TRA SACCOS, need to apply for this product, or have an enquiry? Reach out to us and our team will be happy to assist you.