TRA SACCOS
Home Savings Product

Akaunti Ya Akiba Ya Maandalizi Ya Kustaafu

Overview
Hii ni Akiba mwanachama anaweza kuweka kwa ajili ya maandalizi ya hapo baadae akistaafu

Riba (Interest)

Asilimia saba(7%)

Kiwango cha chini kuweka

TZS. 50,000

Unaweza Kutoa

30% ya akiba kwa mwaka

Faida za Akaunti ya Akiba ya Maandalizi ya Kustaafu 

  1. Akaunti hii inazaa faida (riba) ya asilimia saba(7%) kama Gawio (Interest on Savings) kila Mwaka
  2. Akiba ya mwanachama itaanza kutengeneza faida (riba) baada ya kufikia TZS. 500,000/=
  3. Kiwango cha chini cha kuweka ni TZS. 50,000 kila mwezi.
  4. Mwanachama anaweza kuchangia katika Akaunti hii kila anapopata fedha (Kwa njia ya Mshahara au Kuweka fedha katika akaunti za chama au Makubaliano ya Bank Standing Order).
  5. Mwanachama anaweza kukubaliwa kutoa asilimia thelathini (30%) kwenye akaunti ya wastaafu mara moja kwa Mwaka. Riba itatolewa kwa salio lililobakia tu.
How to Save

Step-by-Step Grow Your Savings

1

Jaza fomu

Bofya hapa, jaza fomu itakayotokea, pakua PDF dokumenti

2

Kisha Itume

kisha itume kwenye barua pepe ya Chama (info@trasaccos.co.tz)

Our Bank Accounts

TRA SACCOS LTD Bank Details

Use the account details below to make deposits or transfers.

NBC

Account Number

012103020266

CRDB

Account Number

01J1328947802

NMB

Account Number

20310008081

AZANIA

Account Number

001000210497

Get In Touch

Do you want to join TRA SACCOS, need to apply for this product, or have an enquiry? Reach out to us and our team will be happy to assist you.