Mkopo wa Elimu ni aina ya mkopo wa muda mfupi unaotolewa kwa wanachama wa TRA SACCOS kwa ajili ya kukidhi mahitaji ya kulipa karo za shule/chuo kwa ajili yake, ndugu au wategemezi wake.
Faida za Mkopo wa Elimu
- Kiasi cha juu cha mkopo ni mara mbili ya Akiba ya Elimu Akaunti.
- Marejesho ni hadi kipindi cha miezi 18.
- Riba ya asilimia nane(8%) kwa mwaka(Njia ya Salio linalobaki (Reducing Balance))
- Mwanachama ataruhusiwa kuongeza mkopo juu ya mkopo wa elimu alio nao (elimu top up) ilimradi jumla ya mkopo wake Pamoja na riba havitazidi mara mbili ya akiba zake katika akaunti ya Akiba ya Elimu.
- Malipo ya Mkopo huu hufanyika ndani ya masaa 24 kwa njia ya Simu au Benki.
Jinsi ya kurejesha Mkopo
Urejeshaji wa mkopo unaweza kufanyika kwa njia ya makato ya mshahara au kulipa Bank katiaka akaunti za Chama.
Akaunti za Benki za Chama
Jina la Akaunti ni: TRA SACCOS LTD:
• NBC 012103020266,
• CRDB 01J1328947802,
• NMB 20310008081,
• AZANIA 00100021049
Jinsi ya Kuomba Mkopo wa Elimu
Jinsi ya Kuomba Mkopo wa Elimu