TRA SACCOS
Home Products

Our Solutions

Loans Products

Built Around Your Life

Planning Mkopo Wa Jipange
Ni Mkopo huu unatolewa kwa mwanachama mwenye akaunti za Wastaafu au/na Wekeza. Kiwango cha juu cha mkopo ni milioni hamsini (50,000,000.00) lakini si zaidi ya mara mbili ya jumla ya akiba ya wastaafu…
Learn More
Education Mkopo wa Elimu
Mkopo wa Elimu ni aina ya mkopo wa muda mfupi unaotolewa kwa wanachama wa TRA SACCOS kwa ajili ya kukidhi mahitaji ya kulipa karo za shule/chuo kwa ajili yake, ndugu au wategemezi wake.
Learn More
short-tem Mkopo wa Week-End
Ni mkopo wa kidijitali unaopatikana muda wote (24/7) kwa wanachama kwa riba ya 5%, bila dhamana na kiwango cha juu cha TZS 200,000. Na pesa huingizwa ndani ya sekunde kupitia App ya "TRA SACCOS…
Learn More
Instant Mkopo wa PAPO 2 PAPO
Ni mkopo wa haraka usiotegemea kiwango cha akiba alizonazo mwanachama, ukiwa na kiwango cha juu cha mkopo hadi TZS 2,000,000. Marejesho hufanyika ndani ya miezi 6, huku riba ikiwa 1% kwa mwezi…
Learn More
Emergency Mkopo wa Dharura
Aina hii ya mkopo inatolewa kwa mwanachama hai wakati wowote itokeapo dharura. Kama jina la mkopo huu linavyojieleza, aina hii ya mkopo itatolewa kwa mwanachama aliyepatwa na dharura (emergency) tu…
Learn More
Community Mkopo wa Maendeleo ya Jamii
Mkopo wa Maendeleo ya Jamii (SDL) unatolewa kwa lengo la kumsaidi mwanachama katika kukidhi mahijati yake ya kijamii kama vile; Karo za shule/Chuo Ununuzi wa samani (Furniture) Ujenzi na umilikaji wa…
Learn More
Savings Products

Built Around Your Life

Welfare Huduma ya Rambirambi
Rambirambi ni huduma ambayo kila mwanachama huchangia Tzs. 10,000 kila mwezi kwenye mfuko wa rambirambi kwa lengo la kuwahudumia Wanachama pale wanapofariki au kufiwa na wategemezi wao kama…
Learn More
Mandatory Akaunti ya Akiba ya Lazima
Akaunti ya Akiba ya Lazima inampa mwanachama fursa ya kujijengea tabia ya kuweka akiba ambayo anaweza kuitumia kama dhamana ya kupata Mikopo mikubwa.
Learn More
Education Akaunti ya Elimu (Education Savings Facility)
Akaunti ya Akiba ya ELIMU inamuwezesha mwanachama kuchangia kwa hiari yake mwenyewe ili kukidhi mahitaji ya kulipa karo za shule/chuo kwa ajili yake, ndugu au wategemezi wake.
Learn More
Retirement Akaunti Ya Akiba Ya Maandalizi Ya Kustaafu
Hii ni Akiba mwanachama anaweza kuweka kwa ajili ya maandalizi ya hapo baadae akistaafu
Learn More
Investment Akaunti Ya Wekeza
Akaunti ya Wekeza ni akaunti ya akiba ambayo inamuwezesha mwanachama kuendelea kuchangia kwa kuwekeza katika akaunti hiyo bila kutoa fedha kwa kipindi cha kuanzia Miaka mitatu (3).
Learn More
Our Bank Accounts

TRA SACCOS LTD Bank Details

Use the account details below to make deposits or transfers.

NBC

Account Number

012103020266

CRDB

Account Number

01J1328947802

NMB

Account Number

20310008081

AZANIA

Account Number

001000210497