Akaunti ya Akiba ya Lazima inampa mwanachama fursa ya kujijengea tabia ya kuweka akiba ambayo anaweza kuitumia kama dhamana ya kupata Mikopo mikubwa.

 

FAIDA ZA AKAUNTI HII

  1. Akiba itazaa faida ya Riba Juu ya Akiba (Interest on Savings) kila Mwaka
  2. Akiba ya Lazima inamuwezesha mwanachama kupata Mkopo wa Maendeleo ya Jamii ambao ni mara tatu(3) ya Akiba ya Lazima
  3. Mwanachama anaweza kuchangia katika Akaunti hii kila anapopata fedha (Kwa njia ya Mshahara au Kuweka fedha katika akaunti za chama au Makubaliano ya Bank Standing Order).

 

VIGEZO NA MASHARTI

Kiwango cha chini cha kuchangia kupitia mshahara ni TZS. 50,000.00

AKAUNTI ZA BENKI ZA CHAMA
Jina la Akaunti ni: TRA SACCOS LTD:

NBC 012103020266,
CRDB 01J1328947802,
NMB 20310008081,
AZANIA 00100021049