Faida za Akaunti ya Akiba ya Maandalizi ya Kustaafu
- Akaunti hii inazaa faida (riba) ya asilimia saba(7%) kama Gawio (Interest on Savings) kila Mwaka
- Akiba ya mwanachama itaanza kutengeneza faida (riba) baada ya kufikia TZS. 500,000/=
- Kiwango cha chini cha kuweka ni TZS. 50,000 kila mwezi.
- Mwanachama anaweza kuchangia katika Akaunti hii kila anapopata fedha (Kwa njia ya Mshahara au Kuweka fedha katika akaunti za chama au Makubaliano ya Bank Standing Order).
- Mwanachama anaweza kukubaliwa kutoa asilimia therathini (30%) kwenye akaunti ya wastaafu mara moja kwa Mwaka. Riba itatolewa kwa salio lililobakia tu.
Akaunti za Benki za Chama
Jina la Akaunti ni: TRA SACCOS LTD:
- NBC 012103020266,
- CRDB 01J1328947802,
- NMB 20310008081,
- AZANIA 00100021049
Jinsi ya Kufungua Akaunti hii